• KURASA 210 TUU ZINAZOTOSHA KUKUFANYA UTOKE KATIKA NAMNA YA ''KUWA'' HADI KUINGIA KATIKA NAMNA YA ''KUWA NA KUFANYA''

    KUTANA NA KITABU KIPYA KABISA KUTOKA KWA MWALIMU EMMANUEL MAKWAYA - TO BE IS TO DO {KUWA NI KUFANYA}

    Emmanuel Makwaya ni mwalimu, mwandishi na mwanzilishi wa SOMA VITABU LEO MINISTRY. Hadi mkononi mwako anakuletea kitabu chenye jumla ya kurasa 210 tuu zenye kuweza kukutoa hatua moja na kukupeleka nyingine.

    TO BE IS TO DO, ni kitabu chenye sehemu kuu mbili:-
    Sehemu ya kwanza, ina sura 5
    • Kuwa ni kufanya
    • Kuwa ni mchakato
    • Kuwa ni zaidi ya kipaji
    • Kuwa ni zaidi ya shule
    • Unahitaji watu ili uwe
    Sehemu ya pili ina jumbe 100 ambazo zinaelezea na kuhamasisha kuwa vile unatamani kuwa, na kila baada ya jumbe kuna nukuu moja ambazo zimeandikwa na Pastor Raphael Lyela.

    Vyovyote unavyotaka KUWA, ni lazima uanze na hatua ya kwanza ya KUFANYA.


    Mbali na kitabu cha TO BE IS TO DO {kuwa ni kufanya}, mwalimu Emmanuel Makwaya ameandika vitabu vingine kama UHUSIANO WA MTU NA MUNGU na MSAFIRI NA MPITAJI


    Mwl Makwaya
    TO BE IS TO DO
    +255 717 567 500
    somavitabuleo@gmail.com

    Kukipata kitabu hiki na vingine alivyoviandika Mwalimu Makwaya, wasiliana nae kwa namba hizo hapo.
  • Maoni 2 :

    1. Kaka Bwana yasu apewe sifa , napata vip kitabu cha TO BE IS TO DO

      JibuFuta
    2. Shalom Mtumishi nafurahi mno kuona kazi kubwa unayofanya kwenye jamii. Naomba kupata njia ya mawasiliano ili niweze kupata ktabu. Nabarikiwa mno.

      JibuFuta

    Inaendeshwa na Blogger.

    Featured Posts

    Featured Posts

    Featured Posts